USAFIRI NA DELIVERY TANZANIA

Safari yako, salama na rahisi

Omba pikipiki, bajaji, teksi au mzigo kwa dakika. Abiria, dereva na delivery kwenye app moja, na bei unaiona kabla ya kuomba.

  • Bei kabla ya kuomba
  • Ufuatiliaji wa moja kwa moja
  • Madereva waliohakikiwa

Safari yako

Dereva anakuja

3 min
J

Juma · Toyota Vitz

T 123 ABC · ★ 4.9

TSh 6,500

HUDUMA

Kila safari na delivery, mahali pamoja

Safari za abiria

Pikipiki, bajaji, teksi na XL. Weka unapokwenda, ona bei kabla ya kuomba, na ufuate gari kwenye ramani.

PikipikiBajajiTeksiXL

Delivery

Tuma kifurushi au mzigo mdogo kwa pikipiki. Ona bei kabla ya kuomba na ufuate dereva kwenye ramani.

DeliveryPikipiki

Harusi

Magari ya heshima kwa harusi na send-off: Land Cruiser, Range Rover, Rolls-Royce na mengine.

HarusiSend-off

Gari la mazishi

Gari la kubebea maiti kwa mazishi, kutoka nyumbani hadi kanisani au makaburini.

FuneralMazishi

MAGARI

Chagua gari linalokufaa

Pikipiki

Pikipiki

1 kiti

Bajaji

Bajaji

3 viti

Teksi

Teksi

4 viti

XL

XL

6 viti

Delivery

Delivery

Mzigo

Mazishi

Mazishi

Huduma ya gali la mazishi

Toyota Alphard

Toyota Alphard

Luxury Car

Toyota Crown

Toyota Crown

Luxury Car

Harrier

Harrier

Luxury Car

Prado 120

Prado 120

Luxury Car

Mercedes C-Class 200

Mercedes C-Class 200

Luxury Car

Harrier Anaconda

Harrier Anaconda

Luxury Car

Range Rover Sport 2010/13

Range Rover Sport 2010/13

Luxury Car

Discovery 4

Discovery 4

Luxury Car

Mazda CX-5

Mazda CX-5

Luxury Car

Jetour

Jetour

Luxury Car

Range Rover Evoque

Range Rover Evoque

Luxury Car

Nissan Mitsuoka

Nissan Mitsuoka

Luxury Car

BMW X5

BMW X5

Luxury Car

Prado 150

Prado 150

Luxury Car

Mercedes E-Class

Mercedes E-Class

Luxury Car

Toyota Fortuner 2016

Toyota Fortuner 2016

Luxury Car

BMW X7

BMW X7

Luxury Car

Range Rover Autobiography

Range Rover Autobiography

Luxury Car

Range Rover Vogue 2018/20

Range Rover Vogue 2018/20

Luxury Car

Discovery 5

Discovery 5

Luxury Car

Hummer H3

Hummer H3

Luxury Car

Range Rover Velar

Range Rover Velar

Luxury Car

Mercedes S-Class

Mercedes S-Class

Luxury Car

Prado 250

Prado 250

Luxury Car

Land Cruiser V8

Land Cruiser V8

Luxury Car

LC300 / VX

LC300 / VX

Luxury Car

Infiniti QX80

Infiniti QX80

Luxury Car

Range Rover Defender 2024

Range Rover Defender 2024

Luxury Car

Rolls-Royce

Rolls-Royce

Luxury Car

G-Wagon 2010

G-Wagon 2010

Luxury Car

G-Wagon 2020

G-Wagon 2020

Luxury Car

Range Rover Sport 2024/25

Range Rover Sport 2024/25

Luxury Car

JINSI INAVYOFANYA KAZI

Hatua tatu tu

  1. 11

    Chagua unapokwenda

    Fungua app, andika mahali pa kuchukuliwa na pa kushuka, kisha chagua aina ya gari.

  2. 22

    Pata dereva karibu

    Bei inaonekana kabla ya kuomba. Dereva aliye karibu zaidi anapokea ombi lako papo hapo.

  3. 33

    Safiri salama na ulipe

    Fuata safari kwenye ramani, tumia msimbo wa kumaliza safari, na ulipe kwa pochi au pesa taslimu.

USALAMA

Imejengwa kukulinda

Madereva waliohakikiwa

Kila dereva anakaguliwa nyaraka kabla ya kupokea safari.

Msimbo wa kumaliza safari

Safari inaisha kwa msimbo wako tu, ili usilipe safari ambayo haikukamilika.

Ufuatiliaji wa moja kwa moja

Ona gari likikaribia na njia ya safari muda wote.

Malipo yaliyo wazi

Pochi ya Safarify au pesa taslimu. Bei haibadiliki bila wewe kujua.

Msaada wa dharura

Kitufe cha SOS ndani ya app kinafikisha taarifa kwa timu ya Safarify.

Mazungumzo na dereva

Wasiliana na dereva ndani ya app bila kutoa namba yako.

KWA MADEREVA

Endesha na Safarify, pata kipato chako mwenyewe

Pokea safari karibu nawe, chagua mlio wa ombi, na ufuate ramani hadi kwa abiria. Pikipiki, bajaji, teksi na delivery.

Pakua na ujisajili
  1. 1Pakua app na ujisajili kama dereva
  2. 2Pakia leseni na nyaraka za gari
  3. 3Mfumo unakuhakiki kiotomatiki, mara nyingi papo hapo
  4. 4Washa “Online” na uanze kupokea safari

MASWALI

Maswali ya mara kwa mara

Safarify inapatikana mikoa gani?+

Tunaanza Dar es Salaam na kupanuka mikoa mingine ya Tanzania. Ramani na bei zinafanya kazi popote madereva wapo.

Nalipaje safari?+

Kupitia pochi ya Safarify au pesa taslimu kwa dereva. Bei unaiona kabla ya kuomba.

Nikighairi ombi, nini kinatokea?+

Ukighairi kabla dereva hajafika hakuna gharama. Ombi linafutwa na dereva hapati tena arifa.

Nawezaje kuwa dereva?+

Pakua app, chagua “Dereva”, jisajili na upakie nyaraka. Nyaraka zinahakikiwa kiotomatiki na mara nyingi unaweza kuwasha Online papo hapo.

Je, app inapatikana iPhone?+

Ndiyo. Pakua toleo jipya kwenye App Store, na Android kwenye Google Play.

MAWASILIANO

Tuko tayari kukusaidia

Una swali, tatizo la safari au unataka kuwa dereva? Tuandikie au tupigie.